Yohana 10:13
Yeye hajali kitu juu ya kondoo kwa sababu yeye ni mtu wa mshahara tu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
The hireling fleeth, because he is an hireling, and careth not for the sheep.
In Context
14Mimi ni mchungaji mwema. Nawajua walio wangu, nao walio wangu wananijua mimi,
Cross References
Acts 18:17Nao wote wakamkamata Sosthene ambaye alikuwa kiongozi wa sunagogi, wakampiga palepale mbele ya mahakama. Lakini Galio hakujali kitendo hicho hata kidogo.