Yohana 10:18
Hakuna mtu anayeninyang'anya uhai wangu; mimi na nautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa na uwezo wa kuuchukua tena. Hivi ndivyo Baba alivyoniamuru nifanye.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
17“Baba ananipenda kwani nautoa uhai wangu ili nipate kuupokea tena.
19Kukawa tena na mafarakano kati ya Wayahudi kwa sababu ya maneno haya.
Cross References
Matthew 26:53Je, hamjui kwamba ningeweza kumwomba Baba yangu naye mara angeniletea zaidi ya majeshi kumi na mawili ya malaika?
John 5:30“Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Baba, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule aliyenituma.
John 10:11“Mimi ni mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo wake.
John 10:17“Baba ananipenda kwani nautoa uhai wangu ili nipate kuupokea tena.
John 15:10Mkizishika amri zangu mtakaa katika pendo langu, kama vile nami nilivyozishika amri za Baba yangu na kukaa katika pendo lake.