Yohana 10:27
Kondoo wangu huisikia sauti yangu; mimi nawajua, nao hunifuata.
Biblia Takatifu
In The King James Version
My sheep hear my voice, and I know them, and they follow me:
In Context
26Lakini ninyi hamsadiki kwa sababu ninyi si kondoo wangu.
Cross References
Matthew 16:24Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kama mtu yeyote anataka kuwa mfuasi wangu, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
Matthew 25:12Lakini yeye akawajibu, Nawaambieni kweli, siwajui ninyi.”
Mark 10:21Yesu akamtazama, akampenda, akamwambia, “Umepungukiwa na kitu kimoja: nenda ukauze vitu ulivyo navyo, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni; kisha njoo unifuate.”
Luke 13:27Lakini yeye atasema: Sijui ninyi mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi nyote watenda maovu.
John 8:12Yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, “Mimi ndimi mwanga wa ulimwengu. Anayenifuata mimi hatembei kamwe gizani, bali atakuwa na mwanga wa uzima.”