Yohana 10:40
Yesu akaenda tena ng'ambo ya mto Yordani, mahali Yohane alipokuwa akibatiza, akakaa huko.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And went away again beyond Jordan into the place where John at first baptized; and there he abode.
In Context
39Wakajaribu tena kumkamata lakini akachopoka mikononi mwao.
Cross References
John 1:28Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ng'ambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.
John 7:1Baada ya hayo, Yesu alikuwa akitembea katika Galilaya. Hakutaka kutembea mkoani Yudea kwa sababu viongozi wa Wayahudi walikuwa wanataka kumwua.