Yohana 11:13
Wao walidhani kwamba alikuwa amesema juu ya kulala usingizi, kumbe alikuwa amesema juu ya kifo cha Lazaro.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Howbeit Jesus spake of his death: but they thought that he had spoken of taking of rest in sleep.
In Context
12Wanafunzi wake wakamwambia, “Bwana, ikiwa amelala, basi atapona.”
14Basi, Yesu akawaambia waziwazi, “Lazaro amekufa;
Cross References
Matthew 9:24akasema, “Ondokeni hapa! Msichana huyu hakufa, amelala tu.” Nao wakamcheka.