Yohana 11:21
Martha akamwambia Yesu, “Bwana, kama ungalikuwa hapa, kaka yangu hangalikufa!
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then said Martha unto Jesus, Lord, if thou hadst been here, my brother had not died.
In Context
20Basi, Martha aliposikia kwamba Yesu alikuwa anakuja, akaenda kumlaki; lakini Maria alibaki nyumbani.
22Lakini najua kwamba hata sasa chochote utakachomwomba Mungu, atakupa.”
Cross References
Matthew 9:18Yesu alipokuwa akisema hayo, ofisa mmoja Myahudi alifika, akamwinamia na kusema, “Binti yangu amekufa sasa hivi. Lakini, tafadhali njoo umwekee mkono wako naye ataishi.”
Luke 7:13Bwana alipomwona mama huyo, alimwonea huruma, akamwambia, “Usilie.”
John 4:47Basi, huyo ofisa aliposikia kuwa Yesu alikuwa ametoka Yudea na kufika Galilaya, alimwendea akamwomba aende kumponya mtoto wake aliyekuwa mgonjwa mahututi.
John 11:37Lakini baadhi yao wakasema, “Je, huyu aliyemfumbua macho yule kipofu, hakuweza kumfanya Lazaro asife?”