Yohana 11:5
Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now Jesus loved Martha, and her sister, and Lazarus.
In Context
Cross References
John 11:8Wanafunzi wakamwambia, “Mwalimu! Muda mfupi tu umepita tangu Wayahudi walipotaka kukuua kwa mawe, nawe unataka kwenda huko tena?”
John 15:9Mimi nimewapenda ninyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni katika pendo langu.
John 17:26Nimekufanya ujulikane kwao na nitaendelea kufanya hivyo, ili upendo ulio nao kwangu uwe ndani yao, nami niwe ndani yao.”