Yohana 11:9
Yesu akajibu, “Je, saa za mchana si kumi na mbili? Basi, mtu akitembea mchana hawezi kujikwaa kwa kuwa anauona mwanga wa ulimwengu huu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
10Lakini mtu akitembea usiku atajikwaa kwa maana mwanga haumo ndani yake.”
Cross References
John 9:4Kukiwa bado mchana yatupasa kuendelea kufanya kazi za yule aliyenituma; maana usiku unakuja ambapo mtu hawezi kufanya kazi.