Yohana 13:3
Yesu alijua kwamba Baba alikuwa amemkabidhi kila kitu, na kwamba alikuwa ametoka kwa Mungu na anarudi kwa Mungu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
4Basi, Yesu aliondoka mezani, akaweka kando vazi lake, akachukua kitambaa na kujifunga kiunoni.
Cross References
Matthew 28:18Yesu akaja karibu, akawaambia, “Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.
John 1:18Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote ule. Mwana wa pekee aliye sawa na Mungu ambaye ameungana na Baba, ndiye aliyetujulisha habari za Mungu.
John 3:35Baba anampenda Mwana na amemkabidhi vitu vyote.
John 7:29Lakini mimi namjua kwa sababu nimetoka kwake, naye ndiye aliyenituma.”
John 8:42Yesu akawaambia, “Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda mimi, maana mimi nilitoka kwa Mungu na sasa niko hapa. Sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.
John 16:27maana yeye mwenyewe anawapenda ninyi, kwa sababu ninyi mmenipenda mimi na mmeamini kwamba nimetoka kwa Mungu.