Yohana 17:20
“Siwaombei hao tu, bali nawaombea pia wote watakaoamini kutokana na ujumbe wao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Neither pray I for these alone, but for them also which shall believe on me through their word;
In Context
19na kwa ajili yao mimi mwenyewe najiweka wakfu ili nao pia wafanywe wakfu katika ukweli.
Cross References
Acts 2:41Wengi waliyakubali maneno yake, wakabatizwa. Watu wapatao elfu tatu wakaongezeka katika kile kikundi siku hiyo.
Romans 15:18Sithubutu kusema kitu kingine chochote isipokuwa tu kile ambacho Kristo Yesu amekifanya kwa kunitumia mimi ili watu wa mataifa wapate kutii. Amefanya hivyo kwa maneno na vitendo,
Ephesians 4:11Ndiye aliyewapa watu zawadi: wengine aliwajalia wawe mitume, wengine manabii, wengine wawe waeneza Habari Njema, wengine wachungaji na walimu.