Yohana 17:8
Mimi nimewapa ule ujumbe ulionipa nao wameupokea; wanajua kwamba kweli nimetoka kwako, na wanaamini kwamba wewe ulinituma.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
7Sasa wanajua kwamba kila ulichonipa kimetoka kwako.
9“Nawaombea hao; siuombei ulimwengu, ila nawaombea hao ulionipa, maana ni wako.
Cross References
John 3:17Maana Mungu hakumtuma Mwanae ulimwenguni ili auhukumu ulimwengu, bali aukomboe ulimwengu.
John 6:68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tutakwenda kwa nani? Wewe unayo maneno yaletayo uzima wa milele.
John 12:49Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila Baba aliyenituma ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini.