Yohana 18:27
Petro akakana tena; mara jogoo akawika.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Peter then denied again: and immediately the cock crew.
In Context
Cross References
Matthew 26:74Hapo Petro akaanza kujilaani na kuapa akisema, “Simjui mtu huyo!” Mara jogoo akawika.
Mark 14:68Lakini Petro akakana, “Sijui, wala sielewi unayosema!” Kisha Petro akaondoka, akaenda nje uani. Hapo jogoo akawika.
Luke 22:34Yesu akamjibu, “Nakwambia wewe Petro, kabla jogoo hajawika leo utakuwa umenikana mara tatu.”
Luke 22:60Lakini Petro akasema, “Bwana wee; sijui hata unachosema!” Na papo hapo, akiwa bado anaongea, jogoo akawika.