Yohana 18:4
Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea, akawauliza, “Mnamtafuta nani?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 17:22Walipokuwa pamoja huko Galilaya, Yesu aliwaambia, “Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa watu.
Matthew 26:2“Mnajua kwamba baada ya siku mbili tutakuwa na sikukuu ya Pasaka, na Mwana wa Mtu atatolewa ili asulubiwe.”
Matthew 26:31Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu wa leo, ninyi nyote mtakuwa na mashaka nami, maana Maandiko Matakatifu yasema: Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.