Yohana 19:1
Basi, Pilato akaamuru Yesu achukuliwe, apigwe viboko.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then Pilate therefore took Jesus, and scourged him.
In Context
2Nao askari wakasokota taji ya miiba, wakamtia kichwani, wakamvika na joho la rangi ya zambarau.
Cross References
Matthew 23:34Ndiyo maana mimi ninawapelekea ninyi manabii, watu wenye hekima na walimu; mtawaua na kuwasulubisha baadhi yao, na wengine mtawapiga viboko katika masunagogi yenu na kuwasaka katika kila mji.
Mark 10:33“Sikilizeni! Tunakwenda Yerusalemu, na huko Mwana wa Mtu atakabidhiwa kwa makuhani wakuu na walimu wa Sheria, nao watamhukumu auawe na kumkabidhi kwa watu wa mataifa.
Luke 18:33Watampiga mijeledi, watamuua; lakini siku ya tatu atafufuka.”
Luke 23:23Lakini wao wakazidi kupiga kelele kwa nguvu sana, kwamba Yesu ni lazima asulubiwe. Mwishowe, sauti zao zikashinda.