Yohana 2:20
Hapo Wayahudi wakasema, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita. Je, wewe utalijenga kwa siku tatu?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
19Yesu akawaambia, “Vunjeni Hekalu hili, nami nitalijenga kwa siku tatu.”
21Lakini Yesu alikuwa anaongea juu ya Hekalu ambalo ni mwili wake.
Cross References
Matthew 24:1Yesu alitoka Hekaluni, na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonyesha majengo ya Hekalu.