Yohana 20:6
Simoni Petro naye akaja akimfuata, akaingia kaburini; humo akaona sanda,
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then cometh Simon Peter following him, and went into the sepulchre, and seeth the linen clothes lie,
In Context
5Alipoinama na kuchungulia ndani, aliona sanda, lakini hakuingia ndani.
Cross References
Luke 22:31“Simoni, Simoni! Sikiliza! Shetani alitaka kuwapepeta ninyi kama mtu anavyopepeta ngano.
John 18:17Huyo msichana mngoja mlango akamwuliza Petro, “Je, nawe pia ni mmoja wa wanafunzi wa mtu huyu?” Petro akamwambia, “Si mimi!”
John 21:7Hapo yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu akamwambia Petro, “Ni Bwana!” Simoni Petro aliposikia ya kuwa ni Bwana, akajifunga vazi lake (maana hakuwa amelivaa), akarukia majini.