bible.software › Yohana › Yohana 21 › Yohana 21:11
Yohana 21:11
Basi, Simoni Petro akapanda mashuani, akavuta hadi nchi kavu ule wavu uliokuwa umejaa samaki wakubwa mia moja na hamsini na watatu. Na ingawa walikuwa wengi hivyo wavu haukukatika.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Simon Peter went up, and drew the net to land full of great fishes, and hundred and fifty and three: and for all there were so many, yet was not the net broken.
In Context
10Yesu akawaambia, “Leteni hapa baadhi ya samaki mliovua.”
12Yesu akawaambia, “Njoni mkafungue kinywa.” Hakuna hata mmoja wao aliyethubutu kumwuliza: “Wewe ni nani?” Maana walijua alikuwa Bwana.
Read all of Yohana 21
Cross References
Luke 5:6Baada ya kufanya hivyo, wakavua samaki wengi, hata nyavu zao zikaanza kukatika.
This Verse In Other Editions
Study Yohana 21:11