Yohana 3:36
Anayemwamini Mwana anao uzima wa milele; asiyemtii Mwana hatakuwa na uzima wa milele, bali ghadhabu ya Mungu hubaki juu yake.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
35Baba anampenda Mwana na amemkabidhi vitu vyote.
Cross References
Luke 3:6Na, watu wote watauona wokovu utokao kwa Mungu.”
John 3:3Yesu akamwambia, “Kweli nakwambia, mtu asipozaliwa upya hataweza kuuona ufalme wa Mungu.”