Yohana 4:36
Mvunaji anapata mshahara wake, na anakusanya mavuno kwa ajili ya uzima wa milele; hivyo mpandaji na mvunaji watafurahi pamoja.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
37Kwa sababu hiyo msemo huu ni kweli: Mmoja hupanda na mwingine huvuna.
Cross References
Romans 1:13Ndugu zangu, nataka mjue kwamba mara nyingi nilikusudia kuwatembeleeni, lakini mpaka sasa nimezuiwa. Ningependa kupata mafanikio mema kati yenu kama nilivyopata kati ya watu wa mataifa mengine.
1 Corinthians 3:5Apolo ni nani? na Paulo ni nani? Sisi ni watumishi tu ambao tuliwaleteeni ninyi imani. Kila mmoja wetu anafanya kazi aliyopewa na Bwana.
1 Timothy 4:16Angalia sana mambo yako mwenyewe, na mafundisho yako. Endelea kufanya hayo maana ukifanya hivyo utajiokoa mwenyewe na wale wanaokusikiliza.
James 5:19Ndugu zangu, mmoja wenu akipotoka kuhusu ukweli, na mwingine akamrudisha,