Yohana 4:54
Hii ilikuwa ishara ya pili aliyoifanya Yesu alipokuwa anatoka Yudea kwenda Galilaya.
Biblia Takatifu
In The King James Version
This is again the second miracle that Jesus did, when he was come out of Judaea into Galilee.
In Context
Cross References
John 4:45Basi, alipofika Galilaya, Wagalilaya wengi walimkaribisha. Maana nao pia walikuwa kwenye sikukuu ya Pasaka, wakayaona mambo yote Yesu aliyotenda huko Yerusalemu wakati wa sikukuu hiyo.