Yohana 5:23
ili watu wote wamheshimu Mwana kama vile wanavyomheshimu Baba. Asiyemheshimu Mwana hamheshimu Baba ambaye amemtuma.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
22Baba hamhukumu mtu yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana,
Cross References
Matthew 10:37“Ampendaye baba au mama yake kuliko anipendavyo mimi, hanistahili. Ampendaye mwana au binti kuliko mimi, hanistahili.
Matthew 12:21Katika jina lake mataifa yatakuwa na tumaini.”