Yohana 6:17
wakapanda mashua ili wavuke kwenda Kafarnaumu. Giza lilikuwa limeingia, na Yesu alikuwa hajawafikia bado.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
16Ilipokuwa jioni wanafunzi wake waliteremka hadi ziwani,
18Ziwa likaanza kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.
Cross References
John 2:12Baada ya hayo, Yesu alishuka pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake, wakaenda Kafarnaumu ambako walikaa kwa siku chache.
John 6:24Basi, hao watu walipogundua kwamba Yesu na wanafunzi wake hawakuwapo mahali hapo, walipanda mashua, wakaenda Kafarnaumu wakimtafuta.