Yohana 6:19
Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
18Ziwa likaanza kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.
20Yesu akawaambia, “Ni mimi, msiogope!”
Cross References
Mark 6:47Ilipokuwa jioni, mashua ilikuwa katikati ya ziwa, naye alikuwa peke yake katika nchi kavu.
Luke 24:36Wanafunzi wote wawili walipokuwa wakiwaambia hayo, Yesu mwenyewe akasimama kati yao, akawaambia “Amani kwenu.”
John 14:18“Sitawaacha ninyi yatima; nitakuja tena kwenu.