Yohana 6:31
Wazee wetu walikula mana kule jangwani, kama yasemavyo Maandiko: Aliwalisha mkate kutoka mbinguni.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Our fathers did eat manna in the desert; as it is written, He gave them bread from heaven to eat.
In Context
30Hapo wakamwambia, “Utafanya ishara gani ili tuione tupate kukuamini? Utafanya kitu gani?
Cross References
John 6:49Wazee wenu walikula mana kule jangwani, lakini walikufa.
1 Corinthians 10:3Wote walikula chakula kilekile cha kiroho,