Yohana 6:48
Mimi ni mkate wa uzima.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
47Kweli, nawaambieni, anayeamini anao uzima wa milele.
49Wazee wenu walikula mana kule jangwani, lakini walikufa.
Cross References
John 6:33Maana mkate wa Mungu ni yule ashukaye kutoka mbinguni na aupaye ulimwengu uzima.”
John 6:51Mimi ni mkate hai ulioshuka kutoka mbinguni. Mtu yeyote akila mkate huu ataishi milele. Na mkate nitakaompa ni mwili wangu ninaoutoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.”
1 Corinthians 11:24akamshukuru Mungu, akaumega, akasema: “Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa kunikumbuka.”