Yohana 6:9
“Yupo hapa mtoto mmoja aliye na mikate mitano ya shayiri na samaki wawili; lakini hivi vyatosha nini kwa watu wengi kama hawa?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
8Mmoja wa wanafunzi wake aitwaye Andrea, nduguye Simoni Petro, akamwambia,
Cross References
Matthew 14:17Lakini wao wakamwambia, “Tunayo mikate mitano tu na samaki wawili.”