bible.software › Yohana › Yohana 7 › Yohana 7:11
Yohana 7:11
Viongozi wa Wayahudi walikuwa wanamtafuta kwenye sikukuu hiyo; Wakauliza: “Yuko wapi?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then the Jews sought him at the feast, and said, Where is he?
In Context
10Baada ya ndugu zake kwenda kwenye sikukuu, Yesu naye alikwenda, lakini hakuenda kwa hadhara bali kwa siri.
12Kulikuwa na minong'ono mingi katika umati wa watu. Baadhi yao walisema, “Ni mtu mwema.” Wengine walisema, “La! Anawapotosha watu.”
Read all of Yohana 7
Cross References
John 9:12Wakamwuliza, “Yeye yuko wapi?” Naye akawajibu, “Mimi sijui!”
This Verse In Other Editions
Study Yohana 7:11