Yohana 7:50
Mmoja wao alikuwa Nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea Yesu. Basi, yeye akawaambia,
Biblia Takatifu
In The King James Version
Nicodemus saith unto them, (he that came to Jesus by night, being one of them,)
In Context
49Lakini umati huu haujui Sheria ya Mose; umelaaniwa!”
51“Je, Sheria yetu humhukumu mtu kabla ya kumsikia kwanza na kujua anafanya nini?”
Cross References
John 3:1Kulikuwa na kiongozi mmoja Myahudi, wa kikundi cha Mafarisayo, jina lake Nikodemo.