Yohana 8:52
Basi, Wayahudi wakasema, “Sasa tunajua kweli kwamba wewe ni mwendawazimu! Abrahamu alikufa, na manabii pia walikufa, nawe wasema ati, Anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele!
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
51Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.”
Cross References
John 8:51Kweli nawaambieni, anayeuzingatia ujumbe wangu hatakufa milele.”
Hebrews 2:9Lakini twamwona Yesu ambaye alifanywa kwa kitambo kidogo kuwa chini zaidi kuliko malaika, ili kwa neema ya Mungu afe kwa ajili ya watu wote. Sasa tunamwona ametawazwa kwa utukufu na heshima kwa sababu ya kifo alichoteseka.