Yohana 8:7
Walipozidi kumwuliza, Yesu akainuka, akawaambia, “Mtu asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
8Kisha akainama tena, akawa anaandika ardhini.
Cross References
Matthew 7:1“Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu;
John 7:46Walinzi wakawajibu, “Hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!”
Romans 2:21Basi, wewe unawafundisha wengine; kwa nini hujifundishi wewe mwenyewe? Unawahubiria wengine wasiibe, lakini kumbe wewe mwenyewe unaiba.
Colossians 4:6Mazungumzo yenu yanapaswa kuwa daima mema na ya kuvutia, na mnapaswa kujua jinsi ya kumjibu vizuri kila mmoja.