The Bible Software
bible.software › Yohana › Yohana 9 › Yohana 9:14

Yohana 9:14

Siku hiyo Yesu alipofanya tope na kumfumbua macho mtu huyo, ilikuwa siku ya Sabato.

Biblia Takatifu

In The King James Version

And it was the sabbath day when Jesus made the clay, and opened his eyes.

In Context

13Kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa Mafarisayo.

15Basi, Mafarisayo wakamwuliza mtu huyo, “Umepataje kuona?” Naye akawaambia, “Alinipaka tope machoni, nami nikanawa na sasa naona.”

Read all of Yohana 9

Cross References

Mark 2:23Siku moja ya Sabato, Yesu alikuwa anapita katika mashamba ya ngano. Walipokuwa wanatembea, wanafunzi wake wakaanza kukwanyua masuke ya ngano.

Luke 13:10Yesu alikuwa akifundisha katika sunagogi moja siku ya Sabato.

John 5:9Mara huyo mtu akapona, akachukua mkeka wake, akatembea. Jambo hili lilifanyika siku ya Sabato.

John 7:21Yesu akawajibu, “Kuna jambo moja nililofanya, nanyi mnalistaajabia.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Portuguesa MundialLuther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)新标点和合本성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس باللغة العربية، فان دايكBibbia Diodati (Italiano)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)Polish Biblia Gdanska (1881)

Study Yohana 9:14

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)Robertson's Word Pictures
← Yohana 9:13Yohana 9Yohana 9:15 →