Luka 1:11
Malaika wa Bwana akamtokea humo ndani, akasimama upande wa kulia wa madhabahu ya kufukizia ubani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And there appeared unto him an angel of the Lord standing on the right side of the altar of incense.
In Context
10Watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani.
12Zakariya alipomwona alifadhaika, hofu ikamwingia.
Cross References
Luke 1:28Malaika akamwendea, akamwambia, “Salamu Maria! Umejaliwa neema nyingi! Bwana yu pamoja nawe.”
Acts 5:19Lakini usiku malaika wa Bwana aliifungua milango ya gereza, akawatoa nje, akawaambia,
Hebrews 1:14Malaika ni roho tu wanaomtumikia Mungu, na Mungu huwatuma wawasaidie wale watakaopokea wokovu.