Luka 1:30
Malaika akamwambia, “Usiogope Maria, kwa maana Mungu amekujalia neema.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the angel said unto her, Fear not, Mary: for thou hast found favour with God.
In Context
29Maria aliposikia maneno hayo alifadhaika sana, akawaza: maneno haya yanamaanisha nini?
31Utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume na utampa jina Yesu.
Cross References
Matthew 28:5Lakini yule malaika akawaambia wale wanawake, “Ninyi msiogope! Najua kwamba mnamtafuta Yesu aliyesulubiwa.
Luke 12:32“Msiogope, enyi kundi dogo! Maana Baba yenu amependa kuwapeni Ufalme.
Acts 27:24akaniambia: Paulo usiogope! Ni lazima utasimama mbele ya Kaisari; naye Mungu, kwa wema wake, amekufadhili kwa kuwaokoa wote wanaosafiri nawe wasiangamie.
Hebrews 13:6Ndiyo maana tunathubutu kusema: “Bwana ndiye msaada wangu, sitaogopa. Binadamu atanifanya nini?”