Luka 1:4
ili nawe uweze kujionea mwenyewe ukweli wa mambo yale uliyofundishwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
That thou mightest know the certainty of those things, wherein thou hast been instructed.
In Context
Cross References
Acts 18:25Alikuwa amefundishwa juu ya hiyo njia ya Bwana, na akiwa motomoto, aliongea juu ya habari za Yesu. Akafundisha kwa usahihi ingawa alikuwa amepata ubatizo wa Yohane tu.
1 Corinthians 14:19Lakini katika mikutano ya waumini napendelea zaidi kusema maneno matano yenye kueleweka ili niwafundishe wengine, kuliko kusema maneno elfu ya lugha ngeni.
2 Peter 1:15Basi, nitajitahidi kuwapatieni njia ya kuyakumbuka mambo haya kila wakati, baada ya kufariki kwangu.