Luka 1:45
Heri yako wewe uliyesadiki kwamba yatatimia yale Bwana aliyokwambia.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
44Nakwambia, mara tu niliposikia sauti yako, mtoto mchanga tumboni mwangu aliruka kwa furaha.
Cross References
Luke 1:20Sikiliza, utakuwa bubu kwa sababu huyasadiki haya maneno yatakayotimia kwa wakati wake. Hutaweza kusema mpaka hayo niliyokuambia yatakapotimia.”
John 11:40Yesu akamwambia, “Je, sikukwambia kwamba ukiamini utaona utukufu wa Mungu?”