Luka 1:47
“Moyo wangu wamtukuza Bwana, roho yangu inafurahi kwa sababu ya Mungu Mwokozi wangu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And my spirit hath rejoiced in God my Saviour.
In Context
Cross References
Luke 2:11Kwa maana, leo hii katika mji wa Daudi, amezaliwa Mwokozi kwa ajili yenu, ndiye Kristo Bwana.
1 Timothy 2:3Jambo hili ni jema na lampendeza Mungu Mwokozi wetu,
Titus 2:10au kuiba vitu vyao. Badala yake wanapaswa kuonyesha kwamba wao ni wema na waaminifu daima, ili, kwa matendo yao yote, wayapatie sifa njema mafundisho juu ya Mungu, Mwokozi wetu.