Luka 1:57
Wakati wa kujifungua kwake Elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now Elisabeth’s full time came that she should be delivered; and she brought forth a son.
In Context
56Maria alikaa na Elisabeti kwa muda upatao miezi mitatu, halafu akarudi nyumbani kwake.
Cross References
Luke 2:6Walipokuwa huko, siku yake ya kujifungua ikawadia,