Luka 1:59
Halafu siku ya nane walifika kumtahiri mtoto, wakataka kumpa jina la baba yake, Zakariya.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
60Lakini mama yake akasema, “La, sivyo, bali ataitwa Yohane.”
Cross References
Luke 2:21Siku nane baadaye, wakati wa kumtahiri mtoto ulipofika, walimpa jina Yesu, jina ambalo alikuwa amepewa na malaika kabla hajachukuliwa mimba.