Luka 1:61
Wakamwambia, “Mbona hakuna yeyote katika ukoo wake mwenye jina hilo?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they said unto her, There is none of thy kindred that is called by this name.
In Context
60Lakini mama yake akasema, “La, sivyo, bali ataitwa Yohane.”
62Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.
Cross References
John 1:6Mungu alimtuma mtu mmoja jina lake Yohane,