Luka 1:63
Naye akaomba kibao cha kuandikia, akaandika hivi: “Yohane ndilo jina lake.” Wote wakastaajabu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he asked for a writing table, and wrote, saying, His name is John. And they marvelled all.
In Context
62Basi, wakamwashiria baba yake wapate kujua alitaka mtoto wake apewe jina gani.
64Papo hapo midomo na ulimi wake Zakariya vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Cross References
Luke 1:13Lakini malaika akamwambia, “Zakariya, usiogope, kwa maana sala yako imesikilizwa, na Elisabeti mkeo atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utampa jina Yohane.