Luka 1:65
Hofu ikawaingia jirani wote, na habari hizo zikaenea kila mahali katika milima ya Yudea.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
64Papo hapo midomo na ulimi wake Zakariya vikafunguliwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Cross References
Luke 2:18Wote waliosikia hayo walishangaa juu ya habari walizoambiwa na wachungaji.
Acts 2:43Miujiza na maajabu mengi yalifanyika kwa njia ya mitume hata kila mtu akajawa na hofu.
Acts 5:11Kanisa lote pamoja na wote waliosikia habari ya tukio hilo, waliogopa sana.
Revelation 11:11Lakini baada ya zile siku tatu na nusu pumzi ya uhai kutoka kwa Mungu iliwaingia, nao wakasimama; wote waliowaona wakaingiwa na hofu kuu.