Luka 11:16
Wengine, wakimjaribu, wakamtaka afanye ishara kuonyesha kama alikuwa na idhini kutoka mbinguni.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And others, tempting him, sought of him a sign from heaven.
In Context
15Lakini baadhi ya watu hao wakasema, “Anamfukuza pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mkuu wa pepo.”
Cross References
Matthew 12:38Kisha baadhi ya walimu wa Sheria na Mafarisayo wakamwambia Yesu, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”
Mark 8:11Mafarisayo walikuja, wakaanza kujadiliana na Yesu. Kwa kumjaribu, wakamtaka awafanyie ishara kuonyesha anayo idhini kutoka mbinguni.
1 Corinthians 1:22Wayahudi wanataka ishara, na Wagiriki wanatafuta hekima;