Luka 11:21
“Mtu mwenye nguvu anapolinda jumba lake kwa silaha, mali yake yote iko salama.
Biblia Takatifu
In The King James Version
When a strong man armed keepeth his palace, his goods are in peace:
In Context
Cross References
Mark 3:27“Hakuna mtu awezaye kuivamia nyumba ya mtu mwenye nguvu na kumnyang'anya mali yake, isipokuwa kwanza amemfunga huyo mtu mwenye nguvu; hapo ndipo atakapoweza kumnyang'anya mali yake.