Luka 12:35
“Muwe tayari! Jifungeni mkanda kiunoni, na taa zenu ziwe zinawaka;
Biblia Takatifu
In The King James Version
Let your loins be girded about, and your lights burning;
In Context
34Pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
Cross References
Matthew 5:16Vivyo hivyo, ni lazima mwanga wenu uangaze mbele ya watu, ili wayaone matendo yenu mema, wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni.”
Matthew 25:4Lakini wale wenye busara walichukua mafuta katika chupa pamoja na taa zao.
Ephesians 6:14Basi, simameni imara! Ukweli uwe kama ukanda kiunoni mwenu, uadilifu uwe kama vazi la kujikinga kifuani,
1 Peter 1:13Kwa hiyo, basi, muwe tayari kabisa kwa nia, na kukesha. Wekeni tumaini lenu lote katika baraka ile mtakayopewa wakati Yesu Kristo atakapoonekana!