Luka 12:43
Heri yake mtumishi huyo ikiwa bwana wake atakaporudi atamkuta akifanya hivyo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Blessed is that servant, whom his lord when he cometh shall find so doing.
In Context
44Hakika atampa madaraka juu ya mali yake yote.
Cross References
Matthew 24:46Heri mtumishi yule ambaye bwana wake atakapokuja atamkuta akifanya hivyo.
2 Peter 3:14Kwa hiyo wapenzi wangu, mkiwa mnangojea Siku ile, fanyeni bidii kuwa safi kabisa bila hatia mbele ya Mungu, na kuwa na amani naye.