Luka 14:12
Halafu akamwambia na yule aliyemwalika, “Kama ukiwaandalia watu karamu mchana au jioni, usiwaalike rafiki zako au jamaa zako au jirani zako walio matajiri, wasije nao wakakualika nawe ukawa umelipwa kile ulichowatendea.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
11Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa, na anayejishusha, atakwezwa.”
13Badala yake, unapofanya karamu, waalike maskini, vilema viwete na vipofu,
Cross References
Matthew 6:1“Jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao. La sivyo, Baba yenu aliye mbinguni hatawapeni tuzo.
Luke 1:53Wenye njaa amewashibisha mema, matajiri amewaacha waende mikono mitupu.
James 2:1Ndugu zangu, mkiwa mnamwamini Bwana Yesu Kristo, Bwana wa utukufu, msiwabague watu kamwe.