Luka 14:33
Vivyo hivyo, basi, hakuna hata mmoja wenu atakayekuwa mwanafunzi wangu kama asipoachilia kila kitu alicho nacho.
Biblia Takatifu
In The King James Version
So likewise, whosoever he be of you that forsaketh not all that he hath, he cannot be my disciple.
In Context
34“Chumvi ni nzuri; lakini ikipoteza ladha yake, itakolezwa na nini?
Cross References
Luke 5:28Lawi akaacha yote, akamfuata.
Luke 18:22Yesu aliposikia hayo akamwambia, “Unatakiwa bado kufanya kitu kimoja: uza kila ulicho nacho, wagawie maskini, na hivyo utakuwa na hazina yako mbinguni; halafu njoo unifuate.”
Acts 5:1Mtu mmoja aitwaye Anania na mkewe Safira waliuza shamba lao vilevile.
1 John 2:15Msiupende ulimwengu, wala chochote kilicho cha ulimwengu. Mtu anayeupenda ulimwengu, upendo wa Baba hauwezi kuwamo ndani yake.