Luka 15:19
Sistahili hata kuitwa mwanao. Nifanye kama mmoja wa wafanyakazi wako.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And am no more worthy to be called thy son: make me as one of thy hired servants.
In Context
18Nitarudi kwa baba yangu na kumwambia: Baba, nimemkosea Mungu, na nimekukosea wewe pia.
Cross References
Luke 5:8Simoni Petro alipoona hayo, akapiga magoti mbele ya Yesu akisema, “Ondoka mbele yangu, ee Bwana, kwa kuwa mimi ni mwenye dhambi!”
1 Corinthians 15:9Maana mimi ni mdogo kabisa miongoni mwa mitume na wala sistahili kuitwa mtume, kwa sababu nililidhulumu kanisa la Mungu.
James 4:8Mkaribieni Mungu, naye atakuja karibu nanyi. Osheni mikono yenu enyi wakosefu! Safisheni mioyo yenu enyi wanafiki!