bible.software › Luka › Luka 15 › Luka 15:25
Luka 15:25
“Wakati huo kaka yake alikuwa bado shambani. Alipokuwa akirudi na kukaribia nyumbani akasikia vifijo na ngoma.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now his elder son was in the field: and as he came and drew nigh to the house, he heard musick and dancing.
In Context
24Kwa sababu huyu mwanangu alikuwa amekufa, kumbe yu mzima alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana. Wakaanza kufanya sherehe.
26Akamwita mmoja wa watumishi, akamwuliza: Kuna nini?
Read all of Luka 15
Cross References
Luke 15:11Yesu akaendelea kusema, “Kulikuwa na mtu mmoja mwenye wana wawili.
This Verse In Other Editions
Study Luka 15:25