Luka 15:31
Baba yake akamjibu: Mwanangu, wewe uko pamoja nami siku zote, na kila nilicho nacho ni chako.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And he said unto him, Son, thou art ever with me, and all that I have is thine.
In Context
Cross References
Mark 7:27Yesu akamwambia, “Kwanza watoto washibe; kwa maana si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
Romans 9:4Hao ndio watu wa Israeli ambao Mungu aliwateua wawe watoto wake, akawashirikisha utukufu wake; aliagana nao, akawapa Sheria yake, imani ya kweli na ahadi zake.
Romans 11:35Au, nani aliyempa yeye kitu kwanza hata aweze kulipwa tena kitu hicho?”